Monday, July 18, 2022

WAGENI WA M/MUNGU WAKIWA KATIKA MJI WA MAKKAH HIJJA 2022

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete katika Picha pamoja na Mkewe Mama Salma Rashid Mkwachu na Dr Janabi ni Miongoni mwa Mahujaji wa Mwaka huu 2022 , Picha wa kiwa haraam Makkah

#almeenTv

#alameenFoundatioN

YAA RABII TWAKUOMBA MWISHO MWEMA UST HASSAN N ,UST RAJAI AYOUB ,UST MAS...


KASWIDA YAA RABII TUNAKUOMBA MWISHO MWEMA , WASOMAJI USTAADH HASSAN NASSOR , HUSSEIN NASSOR MAPACHA WA MTUME , USTAADH RAJAI AYOUB , USTAADH MASSOUD FEROUZ , ILI SOMWA KATIKA MAZISHI YA NDUGU YAKE SHEIKH RAJAB SALIM JUMA MAREHEMU OMAR SALIM JUMA ALIYE ZIKWA JANA JUMATATU TAREHE 18/07/2022 KATIKA MAKABURI YA MAGOMENI MWINYIMKUU.

INNALILLAHI WAINA ILAIHI RAJIUON .

WAGENI WA M/MUNGU WAKIWA KATIKA MJI WA MAKKAH HIJJA 2022

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete katika Picha pamoja na Mkewe Mama Salma Rashid Mkwachu na Dr Janabi ni Miongoni mwa Ma...