Thursday, June 30, 2022

HAFLA ZA EID EL ADH HA L MUBARAK - UGAWAJI WA SADAKA YA NYAMA KWA MAKUNDI MAALUM 2022

 
EID MUBARAK 2022 , NA MAKUNDI MAALUM YA WALEMAVU WA NGOZI , WA MACHO NA VIUNGO wote kwa pamoja tuliweza kuwafikia katika sherehe hizi za Eid l Adh ha l Mubarak 2022.

Alhamdulliha wakifurahia Zawadi za Eid Mubarak , Hafla hii ilifanyika katika Viwanja vya Madrasatul Ameen KIJITONYAMA ALI MAUA , Makao makuu ya Taasisi ya AL AMEEN FOUNDATION.

Wageni na Viongozi waalikwa katika Hafla hii.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Al ameen Foundation akiwa katika Picha ya Pamoja na Wageni waalikwa mbalimbali baada kuisha hafla hiyo Maalum.


 #CHINJA na Al Ameen Foundation 2022

WAGENI WA M/MUNGU WAKIWA KATIKA MJI WA MAKKAH HIJJA 2022

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete katika Picha pamoja na Mkewe Mama Salma Rashid Mkwachu na Dr Janabi ni Miongoni mwa Ma...