EID MUBARAK 2022 , NA MAKUNDI MAALUM YA WALEMAVU WA NGOZI , WA MACHO NA VIUNGO wote kwa pamoja tuliweza kuwafikia katika sherehe hizi za Eid l Adh ha l Mubarak 2022.
Alhamdulliha wakifurahia Zawadi za Eid Mubarak , Hafla hii ilifanyika katika Viwanja vya Madrasatul Ameen KIJITONYAMA ALI MAUA , Makao makuu ya Taasisi ya AL AMEEN FOUNDATION.
Wageni na Viongozi waalikwa katika Hafla hii.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Al ameen Foundation akiwa katika Picha ya Pamoja na Wageni waalikwa mbalimbali baada kuisha hafla hiyo Maalum.
#CHINJA na Al Ameen Foundation 2022




No comments:
Post a Comment